Breaking

Post Top Ad

Sunday, December 7, 2014

VIDEO: LIL WAYNE KAJITOA YOUNG MONEY?!! HIKI NDICHO ALICHOKISEMA MENEJA WAKE

Jibu La Manager Wa Lil Wayne Kuhusu Msanii Wake Kujitoa Young Money..!!TMZ Imemkamata manager wa rapper Lil Waye Cortez Bryant akiwa anatoka kwenye club moja huko West Hollywood na kumuliza kuhusu Lil Wayne kujitoa Young Money.


Manager Cortez Bryant alijibu hivi “We good,” “I’m smiling. I wouldn’t be out at the club right now”

“akimanisha Tuko powa ndio maana natabasamu, nisingekuwa kwenye starehe sasa kama mambo yasingekuwa powa”

Alivyoulizwa kuhusu Tyga, ambaye alitangaza kujitoa Young Money pia , alijibu “Tyga’s good too. That’s my brother.” Kwa mujibu wa Bryant, Weezy hana mpango wa kujitoa YMCMB “We good, we staying where we at.”
Sasa nani anasema ukweli ?

Post Top Ad

Pages