Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, December 7, 2014

VIDEO: TAZAMA MTANGAZAJI WA TV UGANDA AKIMPAKA ZARI THE BOSS LADY, NI AIBU.

Video: Kinachoendelea kwenye simu za watu: Clip ya Mtangazaji wa TV, Uganda akimpaka Zari The Boss Lady

Kuna clip ambayo inatembea chini chini kupitia simu za mkononi watu wakitumiana inayomuonyesha mtangazaji wa Urban TV ya Uganda "Mary Luswata" akimkejeli na kumpa makavu wifi/shemeji yetu kwa Diamond "Zari The Boss Lady kwa kile kinachoonekana kuwepo kwa bif kati yao
Clip hii inaonekana iliruka katika kipindi hicho cha TV mwezi wa 9 lakini kwa Bongo ndio habari saa hii kwasababu inamuhusisha Zari ambae ana-make headline bongo kwa sasa.
Mtangazaji huyo anaonekana akimzungumzia zari baada ya kutumwa picha ya Ngurue mtu na Zari yenye maelezo yanayosema "I was passing by n saw her lol, "Waving". iliyokuwa imepostiwa na Zari 
Marry anaonekana akisema maneno haya
"Zari hii picha uliyoituma inanikumbusha wewe kwasababu wewe na huu jamaa kama mna ngozi ya aina moja, kwahiyo inaoneka zaidi kama wewe kuliko mimi, lakini unajua Zari una boa sana na saa nyingine sitaki hata kugombana na wewe kwasababu levo yako ya elimu ni ndogo sana siwezi kugombana na mwanamke mwenye umri wa kati asiye na akili, ni kujisumbua tu na mimi nakuwa na ugomvi na watu ambao wanaweza kuni challenge lakini wewe huwezi hata kuwasilian akwa kingereza nawezaje kugombana na wewe....na kwa miaka hii nadhani unachotakiwa kukifanya ni kujiangalia mwenyewe, kwasababu unalipia ngono kwa miaka hii na huna miaka mingi kama wengine nnao wajua lakini tayari unalipa kungonoka fikiria miaka mitano kuanzia sasa utakuwa unatumia pesa zaidi ya sasa......kuna joke kumhusu Kim Kardashian inayosema huko chini kwake kunaweza kufanyika tamasha la Rap lakini kwa Zari huko chini kwake unaweza ukafanya mkutano wa umoja wa mataifa, kwasababu Tanzania imepita pale, Nigeria imekuwa pale, South Africa washagonga pale, Uganda ishakuwa pale namaanisha unaweza kufanya mkutano wa kimataifa juu ya Ebola huko chini kwake." amesema mtangazaji huyo.
Angalia video hiyo kuanzia dakika ya 5:54

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages