Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, January 10, 2015

TAZAMA HUDDAH ALIVYOMCHAMBA MWANAUME ANAYEDAI HUDDAH NA ZARI NI BI***CHES, NA AMESHA WANANII. NI YULE ANAYETAKA DIAMOND AMUACHE ZARI

Baada ya mwanaume aliyedai kuwa ni mpenzi wa Huddah kujitokeza na kuupinga uhusiano wa Diamond na Zari The Boss Lady wa Uganda, Socialite wa Kenya Huddah Monroe naye ameibuka na kukana kuwa hajawahi kuwa na uhusiano na njemba huyo.
huddah2
Huddah alipost ujumbe mrefu Instagram ambao baadae aliufuta, wa kuelezea jinsi alivyokutana na jamaa huyo aitwaye King Lawrence, na kudai kuwa si yeye aliyemnunulia Range Rover na walionana siku moja tu Afrika Kusini alipomuomba kupiga nae picha ambazo ndio anazozitumia kudanganya watu kuwa Huddah ni mpenzi wake.
huddah na law
Huddah akiwa na King Lawrence ambaye amemkana kuwa hajawahi kuwa mpenzi wake
Soma alichokiandika Huddah:
Huddah King Lawrence Beef
Zari naye aliscreenshot alichokiandika Huddah na kuandika: “dead!!!! Don’t play with Bossladies…. stick to your day job as a driver and stop faking a champagne life.Sent to hell on a one way ticket. RIP looser!!”
zari huddah

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages