Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, January 27, 2015

TAZAMA KING LAWRENC ANAVYOZIDI KUMCHAFUA ZARI NA DIAMOND INSTAGRAM.

Nimejaribu kukaa na kutafakari matusi anayopewa Diamond na team Wema, kisha katika pitapita zangu nikakutana na hili jamaa linajiita King Lawrence (Lawrence Muyanga). Huyu jamaa nadhani amekuwa mtumwa wa kufuatilia mienendo ya Diamond na Zari, kwani karibu kila tukio analirusha huko instagram kwake.

Kwa namna anavyoaandika maneno ya kejeli hakuna shaka kwamba huyu jamaa penzi la Chibu na Madam Zari limempiga za chemba vibaya mno. Jamaa kama kapanic hivi hadi kakosa direction. Anataka kutengeneza kaushindani ka kijinga na Chibu halafu Chibu mwenyewe kampotezea. Pamoja na kuwa jamaa anaonekana change zipo ila hili la Chibu na Dangote pesa imeshindwa kufanya kazi.Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages