WIZKID KUJA TANZANIA MWAKA HUU, HIKI NDICHO ALICHOANDIKA.

Mashabiki wa msanii kutoka Nigeria, Wizkid watarajie kumshuhudia staa huyo juu ya jukwaa la nyumbani.
Wizkid anatarajia kuja Tanzania mwaka huu (2015) kwa mara ya kwanza.
Wizkid-dreads
Wizkid
Mwimbaji huyo wa ‘Show You The Money’ ameweka ratiba ya shows anazotarajia kuzifanya na Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ziko kwenye ratiba hiyo.
“Gambia ,London ,Tanzania ,Kenya, South Africa, Congo, Dubai , New York nd the Europe tour! Starboy starting 2015 heavy. Get ready guys !!” alitweet Wizkid

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...