Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, February 6, 2015

HUSSEIN MACHOZI ANASWA NA MCHEPUKO WA KIZUNGU BAADA YA KUMTELEKEZA MKE WAKE MOMBASAKama ulikuwa unajiuliza Hussen Machozi Yupo wapi baada ya kupotea kwenye Ramani ya Muziki basi leo utapata jibu hapa.
Hivi Karibuni Mwanamke mmoja wa Kimombasa alisikika kwenye vyombo vya Habari na kusema walifunga ndoa na Hussein machozi kwa Siri na baada ya ndoa Hussein Machozi Akamtelekeza ..Sasa habari mpya ni kuwa Hussein Machozi Ametulia kimapenzi kwa Mzungu kwa sasa na Ameshikiliwa Kinoma kiasi cha kwamba afurukuti kwa mzungu huyo..na labda ndio sababu ya kimya chake katika Muziki.
 

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages