Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, February 10, 2015

PICHA: WEMA APOST PICHA YA ZARI INSTAGRAM NA KUANDIKA MANENO HAYA!!! SOMA HAPA.

Wema Sepetu anahisi ujauzito wa Zari The Boss Lady ni geresha tu, hakuna lolote!
Zari
Hii ni kwa mujibu wa picha inayoonekana kuwa iliwekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na ex wa Diamond Platnumz.
Picha hiyo haipo tena lakini mashabiki wa Zari walifanikiwa kuipata na kuiweka kwenye ukurasa wao kuelezea walivyosikitishwa na kauli ya Wema kwenye picha yake (Zari) isemayo ‘mimba my foot’.
Kwa mujibu wa urbandictionary.com msemo ‘my foot’ humaanisha: An exclamation that means that one believes the previous speaker’s statement to be untrue
Mashabiki wa mrembo huyo wa Uganda anayetarajia kumzalia Diamond mtoto wake wa kwanza, waliipost picha hiyo kwenye akaunti yenye jina zarithebosslady_ na kuandika: Astagafuhulah! Some time we have to wish people good, this is too much jamani hmmmm.”
Baada ya post hiyo, Wema aliamua kujibu kwa kuandika: If u say u Hate me and still come spying on what i post plus create fake accounts to insult me, BITCH you actually Envy me… Gnyt now.” Kauli ambayo wengi wanaamini ni ujumbe kwa Zari.
Bado Zari hajaandika chochote kuhusiana na post hizo za Wema.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages