Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, February 16, 2015

TAZAMA DIAMOND NA ZARI WALIVYOSHEREKEA VALENTINE DAY HUKO ZANZIBAR.


 Ni ukweli usiopingika kwamba Diamond anampenda sana Zari kuliko wanawake wote aliowahi kuwa nao kimapenzi, Bata wanazokula na kuongozana kila mahali mpaka kwenye show anazopiga Diamond Sehemu mbali mbali ni Ushahidi Tosha kuwa wawili hawa wanapendana kinoma noma...

Wengine wanasema Ujauzito umechangia Mapenzi kuwa Moto moto  kwani Diamond ilikuwa ni Ndoto zake siku moja aje apate mtoto sasa hao wengine walikuwa hawataki kumzalia Diamond...Dimaond Ameandika haya kwenye Ukurasa wake wa Instagram:

'She had never been to zanzibar so i had to take her there to experience the beauty of Tanzania...
(Alisema hajawai fika Zanzibar, imebidi nimlete ili ajionee uzuri wa Tanzania yetu...) jus #earlierToday #ValentineWeekEndInZanzibar'

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages