Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, February 12, 2015

UJAUZITO WA ZARI WAMCHANGANYA DIAMOND, AANZA KUKUNUA VITU VYA KUCHEZEA MTOTO WAO KABLA HAJAZALIWA.

Udaku Special blog
Kwa kile kinachoonekana kufurahia ujauzito alionao Zari, Diamond muhusika wa ujauzito huo hakusita kuonyesha furaha yake hadi ameanza kununua vitu vya kuchezea (Toys) vya mtoto pindi atakapozaliwa.......Amendika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram:

"Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy vya kuchezea..."

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages