Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, February 10, 2015

VIDEO: HII NDIO SABABU INAYOFANYA DIAMONOND KUPENDWA NA GIRLFRIENDS ZAKE??!!! TAZAMA VIDEO HII

Diamond Platnumz ameshare na mashabiki wake kuwa yeye sio mahiri wa studio na jukwaani peke yake, lakini ana kitu kingine ambacho huenda kikawa moja ya sababu za kuwapagawisha zaidi wasichana anaokuwa nao kwenye mahusiano.
Hivi karibuni amepost picha akiwa jikoni anapika huko Bangalore, India aliko sasa. Wasichana wengi hupenda sana kuona mwanaume anafanya kazi ambazo baadhi ya wanaume huona ni za kike.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages