Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, February 10, 2015

ZARI APOST PICHA YA MWANAMKE ALIYEJICHORA JINA LA DIAMOND KWENYE ZIWA NA KUMUONYA.

Udaku Special Blog
MPENZI wa nguli wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Zarinah Hassan 'Zari the Boss Lady' ameamua kutupia picha ya mrembo aliyejichora jina la Diamond kwenye ziwa 'nido' lake la kushoto...

Zari ameamua kutupia picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram akionyesha kuwa mpenzi wake anakubalika vilivyo miongoni mwa warembo.

Wengi wa mashabiki wa Zari the Boss Lady wameonekana kuvutiwa na picha hiyo na kitendo cha mrembo huyo kuamua kuachia picha hiyo ila Kwenye Caption ya Picha hiyo Amemuonya kwa Kumwambia "Lolz he is Taken though"

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages