Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, March 7, 2015

ALICHOKISEMA MENINAH BAADA YA KUAMBIWA KATOA MIMBA YA DIAMOND. SOMA HAPA.

Kuna tetesi za miezi kadhaa sasa mtaani (ambazo sisi binafsi hatujaweza kuzithibitisha) kuwa Meninah alitoa mimba aliyopewa na Diamond Platnumz.
MENINA-LA-DIVA
Wawili hao waliwahi kudaiwa kuwa na uhusiano lakini wote walikanusha.
Mtangazaji mahiri wa masuala ya udaku nchini, Soudy Brown kupitia You Heard ya Clouds FM amejaribu kumchimba Meninah kuhusiana na tetesi hizo ambazo zinaongeza kuwa Diamond alimpiga chini baada ya kiumbe chake kukatishwa.
Hata hivyo huenda jibu alilopata mtangazaji huyo hakuwa amelitegemea.
“Kwani (Diamond) sio rijali,” alihoji mrembo huyo. “Yeye hafai kumbebesha mwanamke mimba,” alisisitiza Meninah huku akicheka.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages