Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, March 20, 2015

PICHA: HUYU NDIYE MTANGAZAJI WA CNN ALIYEPANDA MLIMA KILIMANJARO


KLM VII
Jana katika Channel ya CNN moja ya taarifa kubwa ilikuwa ni hii ishu ya mtangazaji wa CNN  Brooke Baldwin kufanikiwa kupanda Mlima Kilimanjaro uliopo ndani ya Tanzania..
Kwake hili ni tukio kubwa sana kwa kuwa alisikia mengi kuhusu huu Mlima kutoka kwa rafiki yake ambaye alitembelea Kenya miaka ya nyuma, aliporudi alikuwa na story nyingi kuhusu twiga, kabila la Wamasai na Mlima Kilimanjaro.. ikawa ndoto yake nae aje aone.
Kaitimiza ndoto hiyo mwaka huu, ni kumbukumbu kubwa ambayo anajivunia Brooke.
CNN waliipa uzito sana taarifa hii, nimeona nikusogezee na wewe uone PICHAZ za mtangazaji huyo akiwa kwenye safari yake hiyo ndani ya Tz mtu wangu.
KLM II
KLM IV
KLM V
Brooke (mwenye koti jekundu) akiwa na watu wengine wakipanda Mlima K’Njaro.
KLM VI
KLM VII
Brooke (mwenye koti la Blue) akiwa na Dismass ambaye kapanda Mlima huo zaidi ya mara 200
KLM VIII
KLM
Brooke Baldwin
Alipata nafasi kupitia Zanzibar pia, alichoenjoy alishare na watu wake Instagram..
Brooke-Baldwin-31

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages