PICHA: TAZAMA COVER NNE ZA MAHABA ZA OMMY DIMPOZ NA WEMA SEPETU ZA #WANJERA.

Mpekuzi blog

Baada ya Ali kiba kuachia single mpya iitwayo Cheka Chaketua hivi karibuni,  Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ameshare nasi hizi kava nne zinazokaribisha ujio wa single yake mpya iitwayo Wanjera inayotarajiwa kuachia leo  tarehe 13, 2015.

Kava hizo zinamuonesha Ommy Dimpoz  akiwa  kimahaba  na msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu.


Mpekuzi blog

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...