Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, March 20, 2015

VIDEO: WEMA SEPETU NA MILLARD AYO KATIKA TANGAZO JIPYA LA GARI AINA YA MITSUBISHI.

Makampuni mengi ya kimataifa yameanza kuamka na kutambua kuwa ili kufikisha ujumbe wao kwa wanunuzi, ni bora kuwatumia mastaa wa ndani.
1599668_663756837089791_1019178055_n
Hivi karibuni, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo, wamepata shavu la kutangaza gari jipya la kampuni ya Mitsubishi aina ya ASX.
Kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.
A video posted by wemasepetuđź‘„ (@wemasepetu) on

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages