Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, April 8, 2015

MAPENZI KATI YA NAY WA MITEGO NA SHAMSA FORD YAPAMBA MOTO.

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ambae hivi majuzi aliweka wazi kuachana na mume wake ambae wamezaanae mtoto mmoja, imebainika kuwa kwasasa yupo kwenye mahusino ya kimapenzi na Staa wa Bongo Fleva, Nay Wamitego.

Hivi sasa wawili hao wanaonekana sehemu mablimbali wakiwa wapo close na kutupia mapicha mtandaoni kitu kinachompa presha mwadada Siwema ambae hivi majuzi alinyang’anywa mototo na Nay Wa Mitego na hiyo kuamua kurusha madogo mtandaoni.

Japo kuwa Nay wa Mitego yupo mstari wa mbele kuwapondea wadada wa Bongo Movies kwenye nyimbo zake, lakini kwenye maisha halisi anaonekana kuwzimia sana kwani alishakuwa na mahusia yo kimapenzi na wadadawa bongo movies kadhaa kabla ya Shamsa wakiwemo  Nisha na Bozi.

Hapo juu ni picha ya Nay na Shamsa Wakilana Denda kwa Raha zao......
Toa Maoni Yako Hapa Chini Matusi Hayarusiwi

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages