WEMA SEPETU NA SHERA LAKE!! AZUA UTATA MITANDAONI. SOMA HAPA.


Tetesi za Ndoa ya Wema Sepetu Zawa Gumzo Mjini!
Ubuyu Mpya unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni.
Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.

Why she can not be my #WCW of this week… 😍😘😘 #likeforlike #like4like she deserve. @wemasepetu  @wemasepetu

Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.
Leo kwenye ukurasa wake mtandaoni amebandika picha hiyo hapo juu na kuandika "Never knew what Hapiness had to offer..... Until now... Im GrateFul & Thankful...."
Ngoja tuendelee kusubiri.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...