Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, May 13, 2015

LULU: NAPENDA KU-DATE WA WANAUME WATU WAZIMA WENYE UMRI MKUBWA KWASABU HAWANA VITU VYA KITOTO. SOMA HAPA.

Mrembo na muigizaji wa filamu za Bongo, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amekiri kuwa anapenda kuwa na mahusiano na wanaume waliomzidi sana umri.


Akizungumza kwenye The Sporah Show, Lulu amezitaja sababu za kupendelea kutoka na wanaume waliomzidi umri.
SPORAH: Watu wanahisi kwamba Lulu anapenda sana kutembea na watu waliomzidi umri sana,
LULU: That’s true, sio uongo, sio sana, Napenda kudate mtu ambaye anayeweza kusimama kama mpenzi, kama kaka, kama baba, kama kiongozi. Sitakuwa tayari kuwa na ile relation leo tumeamka na Maisha Club, kesho tumeamka na Billicanas, kesho tumeamka pale tunakula chips, I need to gain from you, nje ya upenzi unanifundisha nini kwa sababu haimaanishi kwamba mi ntaishi na wewe milele, itafikia siku labda we utaondoka au mi ntaondoka, we ukiondoka mi nikibaki nimejifunza nini kutoka kwako na ntaendelea kuishi vipi.”
“Haimaanishi kwamba napenda kutembea na watu walionizidi umri labda miaka hamsini, napenda kuwa na mtu ambaye angalau ananizidi umri, anauzoefu zaidi yangu, amepitia vitu vingi, anajua vitu vingi kwamba i’ll be there as a girlfriend lakini nakuwa naiba iba kidogo […] na vitu vingine vya kitoto kitoto vingi vinakuwa hamna.” alisema Lulu.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages