Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, May 1, 2015

PICHA: USIKU WA ZARI ALL WHITE PARTY ULIVYOFANA NDANI YA MLIMANI CITY JIJINI DAR.


Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu.
Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City.
Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu.
Wasanii wa Yamoto Band wakiwa wametulia tayari kwa shoo ya usiku wa leo.
Mpiga Picha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (kati) akipozi na watangazaji Sauda Mwilima wa Star TV(kulia) na Khadija Shaibu 'Dida' wa Times FM.
Wanausalama wakiwaondoa baadhi ya watu waliokosa tiketi.
Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo mashabiki wa Diamond.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages