Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, July 13, 2015

MUIGIZAJI MKONGWE WA KENYA, MR. OJWANG AFARIKI DUNIA.

Muigizaji mkongwe na maarufu wa Kenya, Mr Benson Wanjau maarufu kama Mzee Ojuang amefariki dunia akiwa na miaka 78.

Ojuang2
Mr Ojuang amefariki Jumapili ya July 12 katika hospitali ya Kenyatta National Hospital (KNH), alipokuwa amepelekwa mchana wa siku hiyo kupatiwa matibabu. Alifikishwa hospitalini hapo mchana na kufariki dunia saa 2 usiku.
Kwa mujibu wa madaktari inasemekana kuwa alikuwa akisumbuliwa na Pneumonia.
Ojuang alipata umaarufu zaidi kupitia kipindi cha comedy cha Vitimbi.

Source: Daily Nation

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages