SIKILIZA MCHINA AKITAFSIRI KWA KISWAHILI GAZETI LA KICHINA LILILOMWANDIKA "RAIS JOHN POMBE MAGUFULI."

Kuanzia wiki iliyopita zilianza kusambaa picha za gazeti lenye maandishi ya Kichina ambalo lilikua na picha ya Rais mpya wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli, nikaamua kuchukua time kumtafuta Mchina ili atupe tafsiri wameandika nini kuhusu Dr. Magufuli, bonyeza play kwenye hii video hapa chini.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...