Breaking

Post Top Ad

Saturday, October 12, 2013

MILEY CYRUS (HANNA MONTANNA) APEWA OFA YA DOLA MIL 1 KUONGOZA FILAMU YA NGONO


Muimbaji na muigizaji wa Marekani, Miley Cyrus ametangaziwa dau la dola milioni 1 kuongoza (direct) filamu ya wakubwa aka ngono.
Miley2
Kwa mujibu wa TMZ, watengenezaji wa filamu hiyo wapo radhi kumpa kiasi hicho kama akifanya kazi hiyo ya nyuma ya kamera.
Barua kutoka kwenye kampuni imeeleza kuwa Miley atapewa uhuru wa kufanya lolote la ubunifu kufanikisha filamu hiyo.
“This gives you a chance to show the world you are not a little girl anymore, and you won’t bow to pressures of the likes of Sinead O’Connor, who is jealous of your success,” barua hiyo ilisema.
Cyrus ametawala vichwa vya habari duniani tangu alivyotumbuiza kwenye tuzo MTV VMA na kuonekana mtupu kwenye video ya ‘Wrecking Ball’.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages