Breaking

Post Top Ad

Saturday, October 12, 2013

PICHA: DIDDY AKIJIACHIA NA MPENZI WAKE CASSIE HUKU AKISEMA HAYUKO TAYARI KUOA

Pamoja na kwamba Diddy hivi karibuni alisema kuwa hategemei kuoa lakini haimaanishi kuwa hana mapenzi kwa girlfriend wake Cassie (kwa mujibu wa picha hizi).
Mrembo wake Cassie licha ya kuwa hajapewa uhakika wa ndoa lakini anapata kile ambacho couples nyingi hukikosa (true love), na kuuthibitishia hilo ulimwengu amepost picha instagram wakiwa wamepumzika na nyuso zao zikiongea kitu kama (we are happy).
diddycassiesleep
Picha hiyo alisindikizwa na ujumbe huu,

“@iamdiddy can be pretty heavy sometimes… (smiley face) This picture is cute to me because I normally sleep on top of him… He really fell asleep like this (heart)”.

Well, Diddy naye aliamua kumjibu kwa kupost picha yao nyingine Instagram iliyomuonesha Cassie akimfanyia massage ya miguu na kuisindikiza na maneno yafuatayo,
cassiediddyfootrub
“@casandrae was talkin shit on IG earlier! But now dis is later . My Baby and she gives mean foot massage . Lol”
Diddy ambaye ni baba wa watoto sita hivi karibuni kupitia kipindi cha The View alisema hana mpango wa kuoa sababu ana furaha na vile alivyo sasa na kuongeza kuwa watu wengi huweka nguvu nyingi kuingia kwenye ndoa badala ya kuweka nguvu nyhingi kutafuta furaha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages