Breaking

Post Top Ad

Sunday, October 13, 2013

VIDEO:MAITI YAGOMA KUSAFIRISHWA KWENDA KUZIKWA HUKO NCHINI KENYA


Wakaazi wa mtaa wa kwanza wa Mathare Kaskazini nchini kenya walishuhudia kioja cha mwaka pale maiti ilipogoma kusafirishwa jana usiku hadi eneo la Kendu Bay kwenye kaunti ya Homabay. Maiti ya mwenda zake Peter Otieno ilisafirishwa baadaye leo alasiri mishale ya saa tisa kasorobo baada ya jamaa zake wa karibu kufanya mila na desturi ya jamii ya waluo ambapo maiti ilibembelezwa na kubadilisha mwili wa marehemu kwenye jeneza ili kichwa kilalie upande wa nyuma wa jeneza.

TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages