Breaking

Post Top Ad

Saturday, October 12, 2013

WAHAMIAJI HARAMU 14 WAKAMATWA MOROGORO WAKIWA KATIKA LORI LA CHOKAAGari lilokuwa limebeba wahamiaji haramu hao likiwa katika kituo cha polisi mkaoni morogoro
 Wahamiaji haramu kutoka somalia wamekamatwa Mkoani Morogoro leo .Wahamiaji hao waliokuwa wakisafirishwa katika gari la mizigo lilokuwa limebeba shehena ya chokaa.
 Mmoja ya wahamiaji haramu akishushwa katika gari hilo akiwa katika hali mbaya.

Kwa mujibu wa mashuhudwa wa tukio hilo wamesema gari hilo lilekamatwa katika barabara ya morogoro iringa katika kituo kimoja cha kujaza mafuta ambapo mhamiji haramu aliyekuwa katika gari hilo alipokosa hewa na ndipo alipotokea kwenye shehena wa mzigo ndipo wananchi walipomwona na kuanza kupiga kelele na kutoa taarifa kwa jeshi la polisi ndipo askari wa jeshi hilo walipofanikiwa kulikamata gari hilo na kuwakuta wahamiaji haramu wakiwa na miokate na maji wakiwa katika hali mbaya. ambapo wanne kati yao wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa morogoro.


Afisa wa idara ya uhamiaji akizungumzia tukio hilo..Endelea kuwa nasi kwa picha zaidi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages