Breaking

Post Top Ad

Sunday, October 13, 2013

WATANZANIA WAWILI WAIAGA TUSKER PROJECT FAME.

Tanzania leo imeanza vibaya kwenye shindano la Tusker Project Fame msimu wa sita, baada ya washiriki wawili wanaoiwakilisha kutoka.
tana
Washiriki hao ni Durbat na Tanah ambao wameungana na mshiriki wa Rwanda, Peace kuyaaga mashindano hayo. Kutokana na kuondolewa kwa washiriki hao, Tanzania imebakiza washiriki wawili tu kwenye shindano hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages