Breaking

Post Top Ad

Wednesday, July 15, 2015

PICHA: TAZAMA DR. JOHN POMBE MAGUFULI JINSI ALIVYOPOKELEWA NA WANANCHI DAR ES SALAAM.

Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.50 PM
Jina la Waziri Wa Ujenzi Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli lilipata Headlines zenye uzito zaidi baada ya Chama Cha Mapinduzi CCM kumtangaza kwamba ndiye Mgombea Urais aliyepitishwa na Chama hicho kwenye Uchaguzi unaofanyika October 2015.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.26 PM
Yeye pamoja na Mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan tayari wamefika Dar es Salaam na leo July 14 2015 ilikuwa siku rasmi ambayo ilitangazwa kwa ajili ya kuwatambulisha Wagombea hao.
Watu wa Dar es Salaam wamejitokeza katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala kwa ajili ya kufanya mapokezi hayo.. Pichaz za tukio lote ninazo hapa.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.17 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.33 PM
Dk. John Magufuli akiongea katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala, Dar es Salaam.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.40 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.57 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.36.04 PM
Dk. John Magufuli.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.36.11 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.36.20 PM
Waziri Magufuli akionesha uwezo wake kwenye kupiga ngoma. Pembeni yake yuko Katibu Mwenezi wa Itikadi CCM, Nape Nnauye.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.36.30 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.37.11 PM
Katibu Mwenezi Nape Nnauye.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.37.21 PM
Mkuu wa Mkoa Dar Es Salaam, Said Meck Sadick.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.37.29 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.37.37 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.37.44 PM

Post Top Ad

Pages