Breaking

Post Top Ad

Tuesday, August 25, 2015

KIM KARDASHIAN AMMPIKU BEYONCE NA KUWA MTU MWENYE FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM.

Beyonce amenyang’anywa rasmi taji la staa mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram.
947065-97c54186-b323-11e4-b41b-d516c533d6a5
Kim Kardashian sasa amekuwa staa mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mtandao huo. Staa huyo wa Keeping Up With the Kardashians na mke wa Kanye West ana followers milioni 44.1 huku Beyonce akiwa nao milioni 44.
Kim anaweza kuwa amemzidi Beyonce kwasababu hupost picha mara kwa mara na kuandika caption, kitu ambacho mwenzie hafanyi.

Post Top Ad

Pages