Breaking

Post Top Ad

Saturday, October 3, 2015

PICHA: TAZAMA MAROMBOSO ALIVYO MWAGIWA NDOO YA MATOPE SIKU YA BIRTHDAY YAKE.

Ukisherehekea siku yako ya kuzaliwa siku hizi inabidi ujiandae kuoga bila kupenda.
12070652_1689808671230535_2085467192_n (1)
Bahati mbaya hutaishia kuoga maji tu, bali utaogeshwa na kila aina ya kimininika hususan pombe – wanaziita ndoo!
Lakini muimbaji wa kundi la Yamoto Band, Maromboso ambaye jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa alimwagiwa ndoo ya tope!
11374121_1505881463068869_1379413626_n
“aaaaah!!!!..imenifanya kama”John Rambo” ..ikipita yangu ya anayefata atajua popo Ni mnyama au ndege,” ameandika muimbaji huyo wakati washkaji zake walipokuwa wakimminia matope.
Katika picha nyingine Maromboso ameandika: Asanteni sanaaaaa….ila tutaonana tu …Happy birthday to Me.”
Maromboso ameahidi kulipiza kisasi!

Post Top Ad

Pages