Breaking

Post Top Ad

Monday, October 26, 2015

TAZAMA ALICHOKIANDIKA SWIZZ BEATZ BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUSHINDA TUZO YA MTVEMA WORLDWIDE ACT

Diamond ameutafuna mfupa uliowashinda wengi.
12145462_1632827396966695_121546077_n
Hakuna msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki, Magharibi na Kusini aliyewahi kushinda kipengele cha Worldwide Act, Africa/India kwenye tuzo za MTV EMA. Ushindi huo mkubwa unaomfanya sasa awe msanii namba moja Afrika.
“Hii sio tunzo yangu ni tunzo ya wewe na mimi maana bila kura yako nisingeweza kabisa kushinda,” anasema Diamond. “Naomba niwashukuru sana sana kwa kura zenu Mashabiki zangu pendwa, wasanii wenzangu, media, uongozi pamoja na familia.”
“Bahati mbaya kutokana na harakati za uchaguzi hatutaweza kuwa na mapokezi ila ukipita tutaandaa siku maalum kwa wote tuweze piga picha nayo,” ameandika kwenye Instagram.
Kutokana na ushindi huo, mastaa wengi wameendelea kumpa pongeza muimbaji huyo akiwemo mtayarishaji maarufu wa Marekani, Swizz Beatz aliyempongeza kwenye comment kwa kumuita king.
1941271_766788136764432_599250798_n
Hizi ni pongezi za wasanii wengine:
Mr Blue
Hongera mwanangu nasseeb mungu akubariki sana..na endeleza hasira hizo hizo…haina kuremba @diamondplatnumz
Navio
Hailing from East Africa…MTV Europe’s Best Worldwide Act- @diamondplatnumz. CONGRATS BRO! Apart from one other artist, I’ve never had more support from an EA artist than him. And hes not even Ugandan! While other big artists in the industry bicker, surplant and pull down their brothers, he always shows us as EA artists support and realness. He deserves it! Look at what supporting each other and Unity can do!
Banana Zorro
Congratulation Brother….u did it…u made it…..hatua kubwa saaana…stay blessed…@diamondplatnumz …and the team
Willy Paul Msafi
Ladies and gentlemen, @teamdiamondplatnumz has made Africa proud… congrats for winning #mtvema best world wide act/India… anything is possible…@diamondplatnumz
Vanessa Mdee
Diamond man, God got you kid. Nothing is impossible #NeverEver give up #WorldwideAct #Africa #MTVEMA WINNER!!!! ASANTE TANZANIA
Salama Jabir
Salama Zalhata Jabir ‏@EceJay 4h4 hours ago View translation
Hongera Pia Kwa Bwana Nasibu Abdul, Naona Mdosi Kanyooka! 😂😂 Kwetu Pazuri Bwana
@diamondplatnumz @Sallam_SK
Chairman HKN (Kaka yake Davido)
Congrats @diamondplatnumz on Winning Best world Act Africa/India #MTVEMA pretty sure he’s the first African Artist to do so big ups!
Kimani

Post Top Ad

Pages