Breaking

Post Top Ad

Monday, January 25, 2016

IDRIS SULTANI ATHIBITISHA KUWA WEMA ANAUJAUZITO WAKE.

Wema Sepetu ni mjamzito. Baba wa mtoto huyo ni mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan, kwa mujibu wa maneno yake mwenyewe.
Wema Sepetu
Post ya Idris kwenye Instagram imezithibitisha tetesi za muda mrefu kuwa Wema ni mjamzito licha ya yeye mwenyewe kudai kuwa amekuwa akihangaika kupata mtoto kwa muda mrefu.
“Me and You are not the ordinary. I sleep,eat, talk and wake up to only thinking about you,” ameandika Idris kwenye post yake iliyopata comments zaidi ya 5,800 na likes zaidi ya 14,000.
“As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no I am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama “Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” au ukiingia jikoni kwangu and take over my house with good food,” ameongeza.
“The way you look at other women wakinisogelea, how you always know when i need a kiss or a tight hug. The way you force me kuangalia Disney channel, how you wake up early these days to make me breakfast. I might bring you the most beautiful rose flower in the world and it will never look even half as beautiful as you are. When you’re jealous unasonya sonya, when am jealous i smile.”
“I would move mountains and planets just to make you happy. I will protect you, love you, spoil you, fight with you, cook with you, watch movies together, drive at night for no reason, sit with you and just stare at the stars. You’re more than i ever asked for, you’re my everything “My Wife.”

Post Top Ad

Pages